Kufa Shahidi Katika Qur'ani/1
IQNA – Katika aya za Qur’ani Tukufu na Hadithi za Mtukufu Mtume (SAW), hadhi ya mashahidi imetukuka kiasi kwamba kila Muislamu anatamani kuipata.
Habari ID: 3479773 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/18
Maombolezo
IQNA - Qari mashuhuri wa Iran Ustadh Karim Mansouri alisoma aya ya 100 ya Surah An-Nisa na vile vile aya za mwisho za Surah Al-Fajr katika kikao cha Khitma ya Qur'ani kwa ajili ya hayati shahidi Rais Ebrahim Raisi wa Iran na mashahidi wenzake.
Habari ID: 3478889 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/26
Maombolezo
IQNA-Viongozi na maafisa wakuu wa nchi 68 duniani leo wamefika kwenye ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Tehran kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Rais Sayyid Ebrahim Raisi na ya wenzake walio kufa shahidi pamoja naye katika ajali ya helikopta iliyotokea siku ya Jumapili.
Habari ID: 3478873 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/23
Mtazamo
IQNA – Qur’ani Tukufu inasema yeyote anayekufa baada ya kutoka au kuhama nyumbani kwake kwa ajili ya kwenda kwenye Mwenyezi Mungu na Mtume wake (SAW) atapata malipo yake kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3478864 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/21
TEHRAN (IQNA)-Wazayuni wasiopungua watatu wameangamizwa katika oparesheni za ulipizaji kisasi za Wapalestina waliojitolea kufa shahidi .
Habari ID: 3475213 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/06